1Utazameni wema na utamu ulioko huko, ndugu wanakokaa pamoja na kupatana
2Ni kama yale mafuta mazuri ya kichwani pake Haroni, yakishuka na kuziiingia ndevu zake zilizokuwa ndefu, zikafika mpaka kwenye pindo la kanzu yake.2 Mose 29:7; 30:23-30.
3Au ni kama umande ulioko Hermoni, nako kwenye milima ya Sioni unakufika. Kwani Bwana alikoagizia mbaraka, ndiko huko, kuwa kwenye uzima kale na kale.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.