Matendo ya Mitume 7 - Swahili Roehl Bible 1937

Stefano mbele ya wakuu.

1Mtambikaji mkuu alipomwuliza: Ndivyo, yalivyo mambo haya?

2akasema: Waume ndugu na baba, sikilizeni! Mungu mwenye utukufu alimtokea baba yetu Aburahamu, alipokaa Mesopotamia, alipokuwa hajahamia Harani,Mambo ya Mose.

17Siku zilipokaribia, Mungu alizoziagana na Aburahamu na kujiapisha, watu wa kwetu wakazidi kuwa wengi sana huko Misri,

30Ilipokwisha pita tena miaka 40, malaika akamtokea porini mlimani kwa Sinai katika kichaka kilichowaka moto.

43Hapana, ila mlikuwa mmejitwika hema la Moloko

na nyota za mungu wa Romfa;

hivyo vinyago, mlivyovitengeneza,

ndivyo, mlivyovitumia vya kuviangukia.

Kwa hiyo nitawahamisha ninyi, mwende mbali kupita Babeli.

Mambo ya Patakatifu.

44Baba zetu walipokuwa jangwani walikuwa nalo lile Hema la Ushahidi, kama mwenye kusema na Mose alivyoagiza na kumwambia, alitengeneze kwa mfano, aliouona.

49Mbingu ni kiti changu cha kifalme, nayo nchi ni pa kuiwekea miguu yangu.

kwa hiyo Bwana anasema:

Ni nyumba gani, mtakayonijengea?

Au mahali pa kupumzikia mimi ni mahali gani?

50Sio mkono wangu ulioyafanya hayo yote?

51Ninyi wenye kosi ngumu, ninyi wenye mioyo na masikio yaliyo kama ya watu wasiotahiriwa, ninyi kila mara humpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu, vivi hivi ninyi nanyi.Kuuawa kwake Stefano.

54Walipoyasikia haya wakachomwa mioyoni mwao, wakamkerezea meno.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help