1Bwana, sikiliza, nikikuomba, uangalie, nikikulalamikia! kwa kuwa u mwelekevu na mwongofu, na uniitikie!
2Usije kwa mtumishi wako, upate kumhukumu! Kwani kwao wote walio hai hakuna aliye mwongofu.
7Bwana, niitikie upesi! Roho yangu imemalizika; usinifiche uso wako, nisije kufanana nao washukao kuzimuni!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.