1Wakapita katika Amfipoli na Apolonia, wakafika Tesalonike palipokuwa na nyumba ya kuombea ya Wayuda.
32Walipousikia ufufuko wa wafu, wengine wakamfyoza, wengine wakasema: Tunataka kukusikia na siku nyingine, utuelezee jambo hilo.
33Ndipo, Paulo alipotoka katikati yao.
34Lakini walikuwako waliogandamana naye, wakaja kumtegemea Bwana. Miongoni mwao alikuwamo mtu wa Areopago, ndiye Dionisio, tena mwanamke, jina lake Damari, na wengine waliokuwa pamoja nao.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.