1 Wafalme 11 - Swahili Roehl Bible 1937

Wanawake wa Salomo.

1Mfalme Salomo akapenda wanawake wageni pamoja na binti Farao, wa Kimoabu na wa Kiamoni na wa Kiedomu na wa Kisidoni na wa Kihiti.Kufa kwake Salomo.(41-43: 2 Mambo 9:29-31.)

41Mambo mengine ya Salomo nayo yote, aliyoyafanya, na maneno ya werevu wake uliokuwa wa kweli, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya Salomo?

42Nazo siku, Salomo alizokuwa mfalme mle Yerusalemu na kuwatawala Waisiraeli wote, ni miaka 40.

43Kisha Salomo akaja kulala na baba zake, akazikwa mjini mwa baba yake Dawidi, naye mwanawe Rehabeamu akawa mfalme mahali pake.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help