Wafilipi 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Anwani.

1Sisi Paulo na Timoteo tulio watumwa wake Kristo Yesu tunawaandikia ninyi watakatifu nyote mlio naye Kristo Yesu, mkaao huko Filipi, pamoja nanyi watumishi:Paulo huwaombea.

3*Namshukuru Mungu wangu, kila ninapowakumbuka,

4kwani kila mara nikiwaombea ninyi nyote ninaomba na kufurahi.

5Kwani mwashikamana na Utume mwema tangu siku ile ya kwanza mpaka sasa hivi.

6Kwa hiyo moyo umenitulia, nikijua: Yeye aliyeanza mwenu kazi njema ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu.Kumvumisha Kristo.

12*Basi, ndugu, nataka, mtambue, ya kuwa mambo yangu yaliyonipata yamegeuka kuwa ya kuuendesha Utume mwema.Kufa ni kupata.

21Kwani kwangu mimi kuishi ni Kristo, hata kufa ni kupata.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help