Waamuzi 13 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuzaliwa kwake Samusoni.

1Wana wa Isiraeli walipoendelea kuyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, Bwana akawatia mikononi mwa Wafilisti miaka 40.

2Hapo palikuwa na mtu mmoja wa Sora wa ukoo wao Wadani, jina lake Manoa, mkewe huyu mtu alikuwa mgumba, hakuzaa.

3Huyu mwanamke akatokewa na malaika wa Bwana, akamwambia: Tazama, wewe u mgumba, hujazaa; lakini utapata mimba, uzae mtoto mwanamume.

4Sasa jiangalie, usinywe mvinyo wala kileo cho chote, wala usile chakula cho chote chenye mwiko.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help