1Pigeni vigelegele, ninyi waongofu, kwa kuwa naye Bwana! Kumtukuza na kumsifu kunawapasa wanyokao mioyo.
20Roho zetu zinamngoja yeye Bwana, ndiye msaada wetu na ngao yetu.Sh. 3:4.
21Kwa hiyo mioyo yetu inamfurahia, kwani Jina lake takatifu tunaliegemea.
22Wema wako, Bwana, utukalie! Hivyo ndivyo, tunavyovingojea toka kwako.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.