1Lisikieni neno, Bwana alilowaambia ninyi wa mlango wa Isiraeli!
2Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Msijifundishe kuzishika njia za wamizimu! Wala vielekezo vya mbinguni msivistuke, kwa kuwa wamizimu wanavistuka!
3Kwani miiko ya watu wa kimizimu ni kitu pasipo maana; kwani hukata mti wa mwituni, mikono ya fundi ikautengeneza kwa tezo.Wayuda wanaunyenyekea mkono wa Mungu.
17Yakusanye yaliyo yako katika nchi hii, wewe ukaaye bomani bado!
18Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Mtaniona mara hii, nikiwatupa kwa nguvu wakaao katika nchi hii, nitawasonga, wapate kuona!
19A, nimevunjika! Pigo langu halitapona! Nasema mwenyewe: Haya ndiyo manyonge yangu, sharti niyavumilie.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.