1Makabila yote ya watu, yasikilizeni! Nyote mkaao ulimwenguni, yategeeni masikio,
2nyote mlio watuwatu tu, nanyi mlio mabwana! Ninyi mlio wenye mali nanyi maskini, yote pamoja!
3Kinywa changu kitasema yenye werevu wa kweli, nayo mawazo ya moyo wangu ni ya utambuzi.
4Nitaliinamisha sikio langu, lisikie mfano, nitalifumbua fumbo langu na kupiga zeze.
16Mtu akipata mali nyingi, usihangaike, ijapo, utukufu wa nyumba yake aukuze kuwa mwingi!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.