1Mimi Yakobo niliye mtumwa wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo nawasalimu ninyi mlio mashina kumi na mawili yaliyotawanyika.Kuomba pasipo mashaka.
2Ndugu zangu, mnapotumbukia katika majaribu yaliyo mengi na mengi yawazieni kuwa machangamko tu!Mwanzo wa ukosaji.
12Mwenye shangwe ni mtu anayevumilia akijaribiwa. Kwani akiisha kushinda atapewa kilemba chenye uzima, Mungu alichowaagia wale wampendao.
16*Msidanganyike, ndugu zangu wapendwa!Wasikiaji na wafanyaji wa Neno.
19Mwajua, ndugu zangu wapendwa: kila mtu awe mwepesi, apate kusikia, lakini awe mpole, asiseme upesi, tena mpole, asipatwe na makali upesi!
22*Mwe wafanyaji wa Neno, msiwe wasikiaji tu! Kwani hivyo mwajidanganya wenyewe.Mat. 7:26; Rom. 2:13.
23Kwani mtu akiwa msikiaji wa Neno, asiwe hata mfanyaji, huyo amefanana na mtu aliyetazama katika kioo, uso wake ulivyo;
24akiisha kujitazama huenda zake, akasahau upesi, alivyokuwa.
25Lakini achunguliaye, aone, Maonyo yalivyotimilika hapo, tulipokombolewa, akishikamana navyo, hawezi kuwa msikiaji asahauye upesi, aliyoyasikia, ila huwa mfanyaji wa kazi yake, naye atakuwa mwenye shangwe kwa kule kufanya kwake.Yak. 2:12; Yes. 48:18; Yoh. 13:17; Rom. 8:2.
26Mtu akijiwazia kuwa mwenye kumtumikia Mungu, lakini haushindi ulimi wake, anaudanganya moyo wake mwenyewe, kwa hiyo matumikio yake ni ya bure.Sh. 34:14.
27Matumikio yatakatayo yasiyo yenye doa hata machoni pa Mungu Baba ndiyo haya: kukagua watoto waliofiwa na wazazi na kukagua nao wanawake wajane katika maumivu yao na kujilinda wenyewe, tusijitie katika machafu ya ulimwwengu huu.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.