1Haleluya! kwa kuwa ni vema kumwimbia Mungu wetu, ni vizuri kumshangilia, nako kunapasa.
7Mwitikieni Bwana na kumshukuru! Mwimbieni Mungu wetu na kupiga mazeze!
8Yeye ndiye anayeifunika mbingu kwa mawingu, naye anayezinyeshea nchi mvua ndiye yeye, ndiye anayechipuza majani huko milimani.
9Yeye ndiye anayewapa nyama vilaji vyao, nao makinda ya kunguru wamliliao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.