Ezekieli 38 - Swahili Roehl Bible 1937
Ufunuo wa mambo, mfalme Gogi atakayoyafanya, apatilizwe na Mungu.
1Neno la Bwana likanijia la kwamba:
2Mwana wa mtu, uelekeze uso wako kumtazama Gogi katika nchi ya Magogi aliye mkuu wa Rosi na wa Meseki na wa Tubali, umfumbulie yatakayomjia,