1Wewe Bwana ninakuita, u mwamba wangu, usininyamazie na kuwa kimya, nisije kufanana nao washukao kuzimuni!
6Apasaye kutukuzwa ni Bwana, kwani huzisikia sauti zao malalamiko yangu.
7Bwana ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu ulipomwegemea, nikapata kusaidiwa. Moyo wangu ukamshangilia, nikamwimbia nyimbo za kumshukuru.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.