Hosea 3 - Swahili Roehl Bible 1937
Kwa uvumilivu Mungu atawapata walio ukoo wake.
1Bwana akaniambia: Nenda tena kumpenda mwanamke mzinzi anayependwa na mwingine, kama Bwana anavyowapenda wana wa Isiraeli, nao huigeukia miungu mingine kwa kuyapenda maandazi ya zabibu.