Hagai 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Utukufu wa Nyumba ya Mungu utakaokuwa.

1Siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba neno la Bwana likaja kwa msaada wa mfumbuaji Hagai la kwamba:

2Mwambie mtawala nchi ya Yuda Zerubabeli, mwana wa Saltieli, na mtambikaji mkuu Yosua, mwana wa Yosadaki, nao walio masao ya ukoo huu, useme:

3Kwenu ninyi mliosalia yuko nani aliyeiona Nyumba hii, ilivyokuwa yenye utukufu wake wa kwanza? Tena sasa mnaiona kuwaje? Machoni penu siyo kama si kitu?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help