1Katika mwaka wa kwanza wa Dario, mwana wa Ahaswerosi, aliyekuwa wa kizazi cha Wamedi, aliyepata kuwa mfalme wa ufalme wa Wakasidi,Ufunuo wa maana ya majuma sabini.
20Nilipokuwa ninasema bado nikiomba na kuyaungama makosa yangu na makosa yao walio ukoo wangu wa Isiraeli na kuyatoa malalamiko yangu usoni pa Bwana Mungu wangu kwa ajili ya mlima mtakatifu wa Mungu wangu,
21nilipokuwa ninasema bado na kuyaomba hayo, mara yule mtume Gaburieli, niliyemwona katika ndoto ya kwanza, akaja akiruka upesi, akanigusa saa ile, walipotolea tambiko la jioni.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.