Matendo ya Mitume 3 - Swahili Roehl Bible 1937

Kiwete.

1*Petero na Yohana wakapanda kwenda Patakatifu saa tisa, watu walipoombea.

2Kulikuwa na mtu aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mama yake; naye huchukuliwa, awekwe kila siku karibu ya mlango wa Patakatifu unaoitwa Mzuri, aombe sadaka kwao wanaoingia Patakatifu.

23Lakini itakuwa, kila mtu atakayekataa kumsikia yule

mfumbuaji ataangamizwa, atengwe kabisa nao watu wa kwetu.

24Nao wafumbuaji wote toka kwa Samueli na wale waliofuata, wo wote waliosema, wamepiga mbiu za siku hizo.

25Ninyi m wana wao wafumbuaji, tena m wana wa Agano, Mungu aliloliagana na baba zenu alipomwambia Aburahamu:

Katika uzao wako ndimo,

mataifa yote ya nchi yatakamobarikiwa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help