Mashangilio 21 - Swahili Roehl Bible 1937

Kumtukuza Mungu kwa hivyo, alivyomsaidia mfalme.Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Dawidi.

1Bwana, mfalme huifurahia nguvu yako, tazama, jinsi anavyoushangilia mno wokovu wako!

2Moyo wake uyatunukiayo umempa; wala hukumnyima midomo yake iliyoyaomba.

13Tukuka, Bwana, kwa nguvu zako! Nasi tuimbe na kuyakuza matendo ya uwezo wako!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help