Ezera 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Wayuda waliorudi Yerusalemu.(Taz. Neh. 7:5-73.)

1Hawa ndio wana wa lile jimbo waliotoka katika kifungo cha kuhamishwa, aliowateka Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, na kuwahamisha kwenda Babeli, wakapanda kurudi Yerusalemu na Yuda, kile mtu mjini kwake.

2Waliokuja na Zerubabeli ndio: Yesua, Nehemia, Seraya, Relaya, Mordekai, Bilsani, Misipari, Bigwai, Rehumu, Baana. Hesabu ya waume wa ukoo wa Isiraeli ni hii:

64Huo mkutano wote pamoja walikuwa watu 42360,

65pasipo watumwa na vijakazi wao, nao walikuwa 7337; tena walikuwako waimbaji wa kiume na wa kike 200.

66Farasi wao walikuwa 736, nyumbu wao 245,

67ngamia wao 435, tena punda 6720.

68Walipofika penye Nyumba ya Bwana iliyokuwamo Yerusalemu, ndipo, wakuu wa milango walipoitolea wenyewe Nyumba ya Mungu vipaji vya kuijengea tena mahali hapo, ilipokuwa.

69Kwa hiyo, walivyoweza, wakatoa vipaji vyao, wakavitia katika kilimbiko cha jengo: vipande vya dhahabu vilivyoitwa Dariko 61000, ndio shilingi kama milioni mbili na 440000 na vipande vya fedha vilivyoitwa Mane 5000, ndio shilingi kama milioni, na mavazi ya watambikaji 100.

70Kisha watambikaji na Walawi, nao watu wengine na waimbaji na walinda malango nao watumishi wa Nyumbani mwa Mungu wakakaa katika miji yao, nao Waisiraeli wote wakakaa katika miji yao.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help