Mashangilio 32 - Swahili Roehl Bible 1937

Furaha ya kuondolewa makosa.(Wimbo wa juto wa 2.)Fundisho la Dawidi.

1*Mwenye shangwe ndiye aondolewaye mapotovu, naye aliyefunikwa makosa yake.

3Kwani nilipoyanyamazia, mifupa yangu ikanyauka kwa hivyo, nilivyopiga kite mchana kutwa.

6Kwa hiyo kila akuchaye atakubembeleza, siku zitakapotimia; maji mengi yatakapofurika hayatamfikia.

7Wewe nidwe ficho langu, utanilinda, nisisongeke; utanipa, nikushangilie po pote kwa kuniponya.*

8Nitakufundisha na kukuonyesha njia, utakayoishika; macho yangu yatakuelekeza, nikikupa shauri.

10Maumivu yake asiyemcha Mungu ndiyo mengi, lakini amwegemeaye Bwana hugawiwa mengi, yamzunguke.

11Mfurahieni Bwana na kumshangilia, ninyi waongofu! Nyote mnyokao mioyo, pigeni vigelegele!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help