1Mungu akamwambia Yakobo: Inuka, upande kwenda Beteli kukaa huko! Tena jenga huko pa kumtambikia Mungu aliyekutokea huko, ulipomkimbia kaka yako Esau!Yakobo anaitwa Isiraeli, kisha anabarikiwa.
9Mungu akamtokea Yakobo tena, aalipokwisha kurudi Mesopotamia, akambariki.
10Hapo Mungu akamwambia: Jina lako ni Yakobo, lakini usiitwe tena jina lako Yakobo, ila jina lako liwe Isiraeli! Kwa hiyo wakamwita Isiraeli.Wana wa Yakobo.
23Wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili. Wana wa Lea ni wanawe wa kwanza wa Yakobo: Rubeni, tena Simeoni na Lawi na Yuda na Isakari na Zebuluni.
24Wana wa Raheli ni Yosefu na Benyamini.
25Nao wana wa Biliha, kijakazi wake Raheli, ni Dani na Nafutali.
26Nao wana wa Zilpa, kijakazi wake Lea, ni Gadi na Aseri. Hawa ndio wana wa Yakobo, aliozaliwa huko Mesopotamia.
Kufa kwake Isaka.27Kisha Yakobo akafika kwa baba yake Isaka kule Mamure karibu ya Kiriati-Arba, ndio Heburoni, aburahamu na Isaka walikokaa ugenini.
28Nazo siku zake Isaka zilikuwa miaka 180.
29Ndipo, Isaka alipozimia, akafa, akachukuliwa kwenda kwao walio wa ukoo wake; naye alikuwa mkongwe mwenye siku za kushiba siku za kuwapo. Kisha wanawe Esau na Yakobo wakamzika.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.