1Nataka sana, kichwa changu kingegeuka kuwa maji, nayo macho yangu yangegeuka kuwa kisima cha machozi, nipate kuwalilia mchana na usiku wazaliwa wa ukoo wangu waliouawa!Kuulilia ubaya wa Wayuda.
2Nataka sana, ningepata nyikani fikio la wasafiri, ningewaacha wao walio ukoo wangu na kutoka kwao, kwani wao wote ndio wagoni, ni chama cha wadanganyi.
3Huzikaza ndimi zao kuwa pindi za kupiga maneno ya uwongo; wamepata nguvu katika nchi, lakini si kwa welekevu, kwani wakitoka pabaya huingia pabaya pengine, lakini mimi hawanijui; ndivyo, asemavyo Bwana.
4Jilindeni kila mtu kwa ajili ya mwenziwe! Hata ndugu na ndugu msiegemeane! Kwani kila ndugu humponza ndugu yake, hata kila rafiki hufuata masingizio.
23*Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Mwerevu wa kweli asijivunie werevu wake! Wala mwenye nguvu asijivunie nguvu zake! Wala mwenye mali asijivunie mali zake!
24Ila mwenye kujivuna na ajivunie kuwa mtambuzi wa kunijua mimi, ya kuwa mimi Bwana ndiye afanyaye upole na maamuzi yaongokayo katika nchi hii! Kwani hayo ndiyo yanipendezayo; ndivyo, asemavyo Bwana.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.