Ezekieli 48 - Swahili Roehl Bible 1937

Jinsi watakavyojigawanyia nchi yao.

1Haya ndiyo majina ya mashina: upande wa kaskazini kandokando ya njia ya Hetiloni kufika Hamati hata Hasari-Enani penye mpaka wa Damasko upande wa kaskazini kandokando ya Hamati ndiko kutakakokuwa fungu moja, la Dani toka upande wa maawioni kwa jua hata baharini.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help