1Nchi hii ni yake Bwana navyo vyote vilivyomo, hata ulimwengu pamoja nao wakaao humu.
3Yuko nani atakayepanda mlimani kwa Bwana? Tena yuko nani atakayesimama mahali pake patakatifu?
7Yanyosheni malango, yawe marefu! Navyo vilango vya kale vipanueni, mfalme mwenye utukufu apate kuingia!Yes. 40:3-4.
8Huyu mfalme mwenye utukufu ndiye nani? Ni Bwana Mwenye nguvu, aliye mshindaji, kweli, Bwana ni mshindaji, hushinda vitani.
9Yanyosheni malango, yawe marefu! Navyo vilango vya kale vipanueni, mfalme mwenye utukufu apate kuingia!
10Huyu mfalme mwenye utukufu ndiye nani? Bwana Mwenye vikosi, yeye ndiye mfalme, mwenye utukufu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.