1Kisha Yesu akapelekwa na Roho nyikani, ajaribiwe na Msengenyaji.Yesu anakaa Kapernaumu.(12-17: Mar. 1, 14.15 Luk. 4, 14.15)
12Yesu aliposikia, ya kwamba Yohana amefungwa, akaondoka akaenda mpaka Galilea.
15Nchi ya Zebuluni na nchi ya Nafutali zilizoko upande
wa pwani na ng'ambo ya Yordani, Galilea ya wamizimu
iliko,
16huko watu waliokaa gizani wameona mwanga mkuu,
waliokaa penye kivuli kuacho mwanga umemulika juu yao.
17Tangu hapo ndipo, Yesu alipoanzia kupiga mbiu akisema: Juteni! Kwani ufalme wa mbingu umekaribia.Wanafunzi wa kwanza.(18-22: Mar. 1:16-20; Luk. 5:1-11.)
18Basi, Yesu alipokuwa akitembea kandokando ya bahari ya Galilea akaona watu wawili waliokuwa ndugu, ni Simoni aitwaye Petero na nduguye, Anderea. Aliwaona, wakitupa nyavu zao baharini, kwani walikuwa wavuvi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.