1Siku zile Abia, mwana wa Yeroboamu, akaugua.Ufalme wa Wayuda: Rehabeamu anatawala vibaya.(21-31: 2 Mambo 12.)
21Rehabeamu, mwana wa Salomo, akapata kuwa mfalme wa Wayuda; yeye Rehabeamu alikuwa mwenye miaka 41 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 17 mle Yerusalemu katika ule mji, Bwana aliouchagua katika mashina yote ya Isiraeli, alikalishe Jina lake humo. Jina la mama yake ni Nama aliyekuwa Mwamoni.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.