Mashangilio 128 - Swahili Roehl Bible 1937

Mbaraka yao wamchao Mungu.Wimbo wa kupapandia Patakatifu.

1Mwenye shangwe ni kila amwogopaye Bwana, azishikaye njia zake!

2Kwani utajilisha yayo hayo, mikono yako iliyoyasumbukia, kwa kuyapata hayo mema yako nawe u mwenye shangwe.

3Mke wako wa nyumbani mwako atafanana na mzabibu uzaao vizuri: watoto wako wataizunguka meza yako kama makuti ya mchikichi.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help