1Makundi yalipokuwa yamekusanyika maelfu ya watu wakakanyagana kwa kuwa wengi; ndipo, alipoanza kuwaambia kwanza wanafunzi wake; Jilindeni kwa ajili ya chachu ya Mafariseo iliyo ujanja!(2-9: Mat. 10:26-33.)
2Hakuna lililofunikwa lisilofunuliwa halafu, wala hakuna lililofichwa lisilotambulikana halafu.(51-53: Mat. 10:34-36.)
51Mwaniwazia, kwamba nimejia kuiletea nchi utengemano? Nawaambiani: Sivyo, ila naleta matengano.
52Kwani tokea sasa watu watano waliomo katika nyumba moja watatengana, watatu wagombanishe wawili, nao wawili wagombanishe watatu.
53Watagombana baba na mwana wake, tena mwana na baba yake, tena mama na mwana wake wa kike, tena mwana wa kike na mama yake, vilevile mkwe na mkwewe.Kupambanua vielekezo.
54Akayaambia makundi ya watu: Mnapoona wingu linalotoka machweoni, papo hapo mnasema: Mvua inakuja; nayo inakuja kweli.Mat. 16:2-3.
55Tena mnaposikia upepo unaovuma kusini mnasema: Litakuwa jua kali; nalo linakuwapo.
56Enyi wajanja, mnayoyaona ya nchini na ya mbinguni mnajua kuyapambanua, mbona hamzipambanui siku hizi za sasa?
57Tena ninyi wenyewe, mbona hamfuati uamuzi wenye wongofu?
58Kwani mnapokwenda bomani, wewe na mshitaki wako, umkaze njiani, mpatane, maana asikukokote kwa mwenye hukumu, naye mwenye hukumu asikutie mkononi mwa mpiga fimbo, naye mpiga fimbo asikutie kifungoni.Mat. 5:25-26.
59Nakuambia: Hutatoka humo kabisa, mpaka utakapomaliza kulipa, isisalie hata senti moja.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.