1 Wafalme 5 - Swahili Roehl Bible 1937
Maagano ya Salomo na mfalme Hiramu.(1-16: 2 Mambo 2.)
1Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma watumishi wake kwa Salomo, kwani alisikia, ya kuwa wamempaka mafuta, awe mfalme mahali pa baba yake, kwani Hiramu alikuwa akimpenda Dawidi siku zote.