1Kisha wakainuka wale watu wengi wote pia, wakampeleka kwa Pilato.
2Wakaanza kumsuta wakisema: Huyu tulimwona, anavyowapindua watu wa taifa letu na kuwakataza, wasitoe kodi za Kaisari, akisema: Mimi Kristo ni mfalme.Herode.
8Herode alipomwona Yesu akafurahi sana; kwani tangu siku nyingi alikuwa akitaka kumwona, kwa sababu aliyasikia mambo yake, akangojea kuona kielekezo kinachofanyizwa naye.Kumwamba Yesu msalabani.
32Wakapelekwa nao wengine wawili waliofanya maovu, wauawe pamoja naye.
(33-49: Mat. 27:33-56; Mar. 15:22-41; Yoh. 19:17-30.)33Walipofika mahali panapoitwa Fuvu la Kichwa, wakamwamba msalabani pale yeye na wale wafanya maovu, mmoja kuumeni, mmoja kushotoni.
34Kisha Yesu akasema: Baba, waondolee! Kwani hawajui wafanyayo.* Hata nguo zake wakazipigia kura, wazigawanyiane.
35Nao watu walikuwa wamesimama wakitazama; lakini wakuu wakamfyoza wakisema: Wengine aliwaokoa, na ajiokoe mwenyewe, kama ndiye Kristo aliyechaguliwa na Mungu!
36Nao askari wakamfyoza wakimkaribia na kumpelekea siki
37wakisema: Kama ndiwe mfalme wa Wayuda, jiokoe!
38Tena juu yake palikuwa pameandikwa Kigriki na Kiroma na Kiebureo: HUYU NDIYE MFALME WA WAYUDA.
Wafanya maovu wawili.39*Mwenzao mmoja wale wafanya maovu waliotundikwa akambeza: Wewe siwe Kristo? Jiokoe mwenyewe na sisi!
40Lakini mwenzake akajibu akimkaripia na kusema: Humwogopi Mungu wewe nawe, uliomo katika mapatilizo yaya haya?
41Na sisi tumehukumiwa kweli, kwani tunalipizwa yaliyoyapasa matendo yetu; lakini huyu hakuna kipotovu, alichokifanya.
42Kisha akasema: Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako!
47Lakini bwana askari alipoliona lililokuwapo akamtukuza Mungu akisema: Kweli mtu huyu alikuwa mwongofu.
48Nayo makundi yote ya watu waliokuwako kuyatazama hayo, walipoyaona yaliyokuwapo wakarudi kwao na kujipiga vifua.
49Nao wote waliojuana naye walikuwa wamesimama mbali, hata wanawake waliofuatana naye toka Galilea walikuwako wakiyatazama hayo.Kumzika Yesu.(50-56: Mat. 27:57-61; Mar. 15:42-47; Yoh. 19:38-42.)
50Ndipo, palipotokea mtu aliyekuwa mkuu, jina lake Yosefu wa Arimatia, ndio mji wa Wayuda. Huyo alikuwa mtu mwema na mwongofu;
51kwa hiyo hakujitia katika mashauri na matendo yao; naye alikuwa akiungoja ufalme wa Mungu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.