1Kwani kila mtambikaji mkuu anayechaguliwa katika watu huwekwa kwa ajili ya watu, awafanyizie kazi kwake Mungu akimtolea matoleo na vipaji vya tambiko kwa ajili ya makosa yao.
2Huyu anaweza kuwavumilia kidogo wasiojua maana, wakipotezwa, kwa sababu hata yeye ni mwenye unyonge.Maziwa na chakula.
11Hapo tunayo maneno mengi ya kusema, lakini ni magumu ya kuyaeleza vema, nanyi mmekuwa wavivu wa kusikia.
12Kwani tukizipima siku, mlizofundishwa, msingekuwa na budi kuwa wafunzi; lakini mwapaswa, mtu aanze tena kuwafundisha, maneno ya Mungu yalivyoanza; maana yawafaliayo ni maziwa, vyakula vigumu sivyo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.