1Kisha Yesu akajijulisha tena kwa wanafunzi kwenye bahari ya Tiberia. Alivyojijulisha ni hivyo:
2walikuwako pamoja Simoni Petero na Toma anayeitwa Pacha na Natanaeli wa Kana wa Galilea na wana wa Zebedeo na wanafunzi wake wengine wawili.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.