1Nikaona kielekezo kingine mbinguni kilicho kikubwa cha kustaajabu, ni malaika saba walioyashika mapigo saba ya mwisho, kwani katika hayo ndimo, makali ya Mungu yalimotimia.
4Yuko asiyekuogopa wewe, Bwana?
Au yuko asiyelitukuza Jina lako?
Kwani wewe peke yako umetakata,
wamizimu wote watakuja na kukuangukia mbele yako,
kwa kuwa vimetokea waziwazi, unavyowapa watu wongofu.Vyano saba vya makali.
5Kisha nikaona Jumba la Mungu, lile Hema la Ushahidi lililoko mbinguni, lilivyofunguliwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.