1Bwana akamwambia Mose kwamba:
25Nayo makombozi yote, utakayoyapima, sharti uyapime kwa fedha zilizopimwa kwa mizani ya Patakatifu, fedha moja iwe ya thumuni nane.
26Wana wa kwanza wa nyama wa kufuga mtu asiwatakase kuwa wake Bwana, kwani ndio wake Bwana kwa kuzaliwa wa kwanza, kama ni ng'ombe, au kama ni mbuzi au kondoo, ni wake Bwana.
30Kila fungu la kumi la nchi, kama ni la mbegu za nchi au kama ni la matunda ya nchi, ni lake Bwana, ni mali takatifu za Bwana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.