1Bwana asipoijenga nyumba, waijengao hujisumbua bure; Bwana asipoulinda mji, walinzi huwa macho bure.
2Ni bure mkijidamka mapema, tena mkichwelewa kazini, mkala chakula wenye machungu yasiyokoma mioyoni; kwani wamchao huwapa, wakiwa wamelala usingizi.
3Tazameni: Watoto ndio tunzo, Bwana ampatialo mtu, nao uzao wa tumbo ni kipaji chake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.