1Waisiraeli wote tunawaona, wameandikwa katika kitabu cha udugu, nao hao walioandikwa wamo katika kitabu cha wafalme wa Waisiraeli; lakini Wayuda walihamishwa kwenda Babeli, kwa kuwa walivunja maagano.Watumishi wa Nyumbani mwa Mungu.
17Wangoja malango: Salumu na Akubu na Talmoni na Ahimani pamoja na ndugu zao; naye Salumu alikuwa kichwa chao,
18naye anashika mpaka leo zamu ya lango la mfalme lililoko upande wa maawioni kwa jua. Hawa ndio walinda malango wa makambi ya wana wa Lawi.
19Naye Salumu, mwana wa Kore, mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, na ndugu zake wa mlango wa baba yake wao Wakora, walikuwa wenye kazi za utumishi wa kuwa wangoja vizingiti vya hilo Hema, nao baba zao walikuwa wakingoja pa kuyaingilia makambi ya Bwana.
33Nao hao ndio waimbaji waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao ya Walawi, ndio waliokaa katika vile vyumba, wasiokuwa na kazi nyingine, kwani kazi yao yenyewe iliwataka mchana na usiku.1 Mambo 9:14-16.
34Hawa ndio waliokuwa vichwa vya milango ya baba zao Walawi, maana ni wakuu wa vizazi vyao, nao ndio waliokaa Yerusalemu.
Wenyeji wa Gibeoni na mlango wa Sauli.35Mle Gibeoni alikaa Yieli, babake Gibeoni, nalo jina la mkewe lilikuwa Maka.1 Mambo 8:29-38.
36Mwanawe wa kwanza ni Abudoni, tena Suri na Kisi na Baali na Neri na Nadabu
37na Gedori na Ayo na Zakaria na Mikloti.
38Naye Mikloti akamzaa Simeamu. Nao hao walikaa ng'ambo ya ndugu zao kule Yerusalemu kwao ndugu zao.
39Naye Neri akamzaa Kisi, naye Kisi akamzaa Sauli, naye Sauli akamzaa Yonatani, tena Malkisua na Abinadabu na Esibaali.
40Naye mwana wa Yonatani alikuwa Meribu-Baali, naye Meribu-Baali akamzaa Mika.
41Nao wana wa Mika ni Pitoni na Meleki na Tarea na Ahazi.
42Ahazi akamzaa Yara, naye Yara akamzaa Alemeti, tena Azimaweti na Zimuri, naye Zimuri akamzaa Mosa.
43Naye Mosa akamzaa Bina, mwanawe huyo alikuwa Refaya, mwanawe huyo Elasa, mwanawe huyo Aseli.
44Naye Aseli alikuwa mwenye wana sita; nayo haya ndiyo majina yao: Azirikamu, Bokeru na Isimaeli na Saria na Obadia na Hanani; hawa ndio wana wa Aseli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.