1Mwimbieni Bwana wimbo mpya! Kwani hufanya mataajabu. Mkono wake wa kuume humpatia kushinda. maana huo mkono wake ni wenye utakatifu.
4Mpigieni Bwana shangwe, nchi zote! Pazeni sauti! Shangilieni na kumwimbia!
5Mwimbieni Bwana na kupiga mazeze, mazeze yakizifuata sauti za nyimbo!
6Pigeni mabaragumu yenye kulia sana mkishangilia mbele yake bwana, ya kuwa ni mfalme!4 Mose 23:21.
7Bahari na ivume nayo yote yaliyomo! Hata nchi pamoja nao wakaao humo!Sh. 96:11-13.
8Mito mikubwa na iitikie na milima pamoja, yote na ishangilie!
9Bwana atakapokuja ataihukumu nchi, atauhukumu ulimwengu kwa wongofu nayo makabila ya watu kwa unyofu.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.