1Niigeni mimi, kama nami ninavyomwiga Kristo!Jinsi inavyowapasa waume na wake kuomba.
2Nawasifu ninyi, ya kuwa mnanikumbuka po pote, mkashikamana nayo maagizo yangu, kama nilivyowaagiza.
3Lakini nataka, mjue, ya kuwa kichwa cha kila mume ni Kristo, nacho kichwa cha mke ni mume, nacho kichwa cha Kristo ni Mungu.
23*Maana mimi nalipewa na Bwana, niliyowapa nanyi: Bwana Yesu usiku ule, alipotolewa, akatwaa mkate,Kujichunguza mwenyewe.
27Kwa hiyo kila anayejilia tu mkate huo na kujinywea tu kinhweo cha Bwana atajionea mapatilizo ya mwili na damu ya Bwana.1 Kor. 11:21-22; Ebr. 6:6.
28Sharti mtu ajichunguze mwenyewe, kisha aule mkate huo, akinywee nacho kinyweo hicho!Mat. 26:22; 2 Kor. 13:5.
29Maana mwenye kujilia na kujinywea tu hujilia mapatilizo, hujinywea mapatilizo, kwani haupambanui mwili wa Bwana.
30Kwa hiyo kwenu wako wengi walio wanyonge na wagonjwa, nao waliolala si wachache.1 Kor. 15:20.
31Lakini tunapojichunguza wenyewe hatutapatilizwa.
32Ila tukipatilizwa na Bwana tunaonywa, tusije kuhukumiwa pamoja nao wa ulimwengu huu.*Ebr. 12:5-6.
33Kwa hiyo, ndugu zangu, mnapokutania kula, sharti mngojane!
34Mtu akiwa na njaa ale mwake, kwamba msikutanie mapatilizo! Nayo yaliyosalia nitayaagiza nitakapokuja.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.