2 Mose 23 - Swahili Roehl Bible 1937

Maagizo ya upendo na mengine.

1Usivumishe habari za uwongo ukifanya bia na mwovu kuwa shahidi wa kukorofisha wengine.

4Ukikuta ng'ombe wa mchukivu wako au punda wake, akipotea, sharti umrudishe kwake.

10Miaka sita upande mbegu katika nchi yako na kuyavuna mapato yake!(14-19: 2 Mose 34:18-26; 3 Mose 23; 5 Mose 16.)

14Kila mwaka unifanyizie sikukuu mara tatu!

15Sikukuu ya Mikate isiyochachwa uiangalie: siku saba ule mikate isiyochachwa, kama nilivyokuagiza, nazo siku zake zilizowekwa ni za mwezi wa Abibu, kwani ndio, uliotoka Misri; lakini wasitokee mbele yangu mikono mitupu!Kiagio cha kuwafukuza Wakanaani mbele ya Waisiraeli.

20Utaniona, nikimtuma malaika wangu, akutangulie na kukuangalia njiani, akufikishe mahali pale, nilipokutengenezea.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help