1Wote walio katika mafungo ya utumwa sharti wawape mabwana zao heshima zote, Jina la Mungu nao ufundisho wetu usifyozwe!Choyo ni shina la maovu. Mambo hayo yafundishe na kuwaonya!
3Mtu akifundisha mengine, asiposhikamana na maneno ya Bwana wetu Yesu Kristo yatupayo uzima wala na ufundisho upasao wenye kumcha Mungu,Ungamo zuri.
11Lakini wewe uliye mtu wa Mungu hayo yakimbie! Ukimbilie wongofu na kumcha Mungu na kumtegemea na kupendana na kuvumilia na kujinyenyekeza!Matumio ya mali.
17Walio wenye mali nyingi humu ulimwenguni waagize, wasijikweze, wala wasizitumainie mali, maana hutoweka upesi; ila sharti wamtumainie Mungu anayetupatia yote na kuyafurikisha, tushibe vema.
20Timoteo, yalinde, uliyopewa ya kuyaweka! Yakatae yale mapuzi yaliyo ya bure tu nayo yale mabishano ya utambuzi ulio wa uwongo tu!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.