Yuda 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Anwani.

1Mimi Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, niliye ndugu wa Yakobo, nawaandikia ninyi mwitwao, mkapendwa kwa kuwa wake Mungu Baba, mkalindwa, mmfikie Kristo.

11Yatawapata hao, kwani hushika njia ya Kaini, wakapotea na kutumbukia katika mshahara wa Bileamu, wakajiangamiza katika mapingano ya Kora.Msingi wetu wa kujijengea.

17Lakini ninyi, wapendwa, myakumbuke maneno yaliyosemwa kale na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo,

18maana waliwaambia ninyi: Siku za mwisho kutakuwa na wafyozaji watakaoendelea na kuzifuata tamaa zao wenyewe kwa kuacha kumcha Mungu.

24Lakini yeye anaweza kuwalinda, msijikwae, na kuwaweka, mtekee penye utukufu wake na kushangilia kwa kuwa pasipo kilema,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help