Waamuzi 15 - Swahili Roehl Bible 1937

Samusoni anawafanyizia Wafilisti mabaya mengi.

1Siku zilipopita, siku za mavuno ya ngano zilipokuwa karibu, Samusoni alikwenda kumwamkia mkewe na kumpa mwana mbuzi, akisema moyoni: Nitaingia chumbani kwa mke wangu. Lakini baba yake hakumpa ruhusa kuingia.

2Baba yake akamwambia: Nilidhani, umechukizwa naye, nikampa mwenzako; je? Ndugu yake mdogo si mwema kuliko yeye? Na awe wako mahali pake!

20Akawa mwamwuzi wa Waisiraeli miaka 20 siku zile za Wafilisti.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help