2 Wafalme 24 - Swahili Roehl Bible 1937

Wayuda wanaanza kutumikia Babeli.(Taz. 2 Mambo 36:6-13.)

1Hizo siku zake Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, akapanda huko; ndipo, Yoyakimu alipomtumikia miaka 3, kisha akamkataa tena akiacha kumtii.

2Ndipo, Bwana alipotuma kwake vikosi vya Wakasidi na vikosi vya Washami na vikosi vya Wamoabu na vikosi vya wana wa Amoni, akawatuma katika nchi ya Yuda, waiangamize kwa lile neno la Bwana, alilolisema vinywani mwa watumishi wake wafumbuaji.

3Hivyo vikaingia katika nchi ya Yuda kwa lile neno, kinywa cha Bwana kililolisema, aiondoe usoni pake kwa ajili ya makosa ya Manase, aliyoyafanya yote.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help