Waroma 15 - Swahili Roehl Bible 1937

Mapatano ya Kikristo.

1Sisi tulio wenye nguvu imetupasa kuyavumilia manyonge yao wenye kukosa nguvu, tusijipendeze wenyewe.

4*Kwani yote yaliyoandikwa kale yamendikwa, yatufundishe, tupate kukishika kingojeo chetu tukivumilia, tena tukitulizwa mioyo na yale Maandiko.Anataka kufika Roma.

22Kwa ajili hiyo nalizuiliwa mara nyingi kuja kwenu.

30Lakini ndugu, nawahimiza kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo na kwa hivyo, tunavyopendana Rohoni, mnipiganie na kuniombea kwa Mungu,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help