Ufunuo 14 - Swahili Roehl Bible 1937

Wimbo mpya wa watu waliokombolewa.

1Kisha nikamwona Mwana kondoo, akisimama mlimani kwa Sioni juu. Pamoja naye kulikuwako watu 144000 waliokuwa wameandikwa Jina lake na Jina la Baba yake mapajini pao.Mndu mkali na kamulio.

14Nilipotazama tena nikaona wingu jeupe, humo winguni juu palikaa aliyefanana na mwana wa mtu; alikuwa na kilemba cha dhahabu kichwani pake, mkononi mwake alishika mndu mkali.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help