1Kisha nalitazama, nikaona mlango mbinguni uliokuwa wazi. Ndipo, sauti ile ya kwanza, niliyoisikia kama ya baragumu, iliyosema nami, iliposema: Panda huku, nikuonyeshe yatakayofanyika, haya yakiisha! Papo hapo nikawapo kiroho.
11Wewe Bwana na Mungu wetu, umepaswa na kupewa utukufu
na heshima na uwezo, kwani wewe uliviumba vyote;
kwa hayo, uyatakayo, vikapata kuwapo vilipokwisha
kuumbwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.