1Upole na uamuzi wa kweli nitauimbia, nitakutungia wimbo, wewe Bwana.
2Nitajitafutia ujuzi wa kuifuata njia iliyo yenye kweli yote. Itakuwa lini, ukija kwangu? Nitaendelea kuutakasa moyo wangu humu nyumbani mwangu.
3Sitayaelekeza macho yangu kwenye mambo yasiyofaa, nachukizwa na kufanya mapotevu, hayagandamani na mimi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.