1Mwenye shangwe ni mtu atunzaye mnyonge. Naye atakapopatwa na kibaya, Bwana atamwokoa.
10Lakini wewe Bwana, nihurumie na kuniinua, nipate kuwalipiza!
11Hapo ndipo, nitakapotambua, ya kuwa umependezwa nami, adui yangu asipoweza tena kunipigia yowe.
12Kwa hivyo, mimi ninavyokucha kwa moyo wote, unanishikiza, ukanipa kusimama usoni pako kale na kale.
13Bwana Mungu wa Isiraeli, na atukuzwe kama huko kale, vivyo nazo siku zitakazokuwa kale na kale! Amin. Amin.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.