1Yatawapata wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo, niliowapa kuwachunga! ndivyo, asemavyo Bwana.Mchungaji mwema atakayetokea mlangoni mwa Dawidi.
5Ndivyo, asemavyo Bwana: Mtaona, siku zitakapokuja, nikimwinulia Dawidi chipuko lenye wongofu, naye atakuwa mfalme ajuaye vema kutawala, maana atafanya katika nchi yaliyo sawa yaongokayo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.